Uchunguzi wa pesa za ECDE Bungoma

Citizen TV Kenya
リアクション
2026年06月05日
Bunge la Kaunti ya Bungoma laamrisha Viongozi wa serikali katika wizara za elimu,fedha na ile ya masuala ya umma na mipangilio,kufika mbele ya bunge hilo na kuelezea ziliko shillingi millioni 29,zilizotengwa kwa ajili ya ajira ya walimu wa chekechea.